Latest Posts
Majaliwa: Tuuze korosho zilizobanguliwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima zao la korosho wafanye kilimo cha kibiashara kwa kuacha kuuza korosho ghafi na badala yake wauze zilizobanguliwa ili kujiongeza tija zaidi. “Wakati wa kubadilika umefika, tutumie fursa hii kujenga viwanda vya kubangulia korosho na…
Rasilimali watu na fedha vyapewa kipaumbele SADC
Na Peter Haule, WF, Luanda-Angola Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imejipanga kuwekeza katika rasilimali watu na fedha ili kuchochea maendeleo ya sekta ya viwanda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu…
Naibu Waziri Ummy atoa wito kwa wananchi kutembelea vivutio vya utalii
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia na (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga ametoa rai kwa wananchi, Taasisi na Wizara kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutembelea vivutio vyetu vya utalii wa ndani. Wito huo umetolewa wakati Viongozi na…
Aukumiwa kwenda jela maisha wa kumbaka mtoto
Noel Fungo (22) mkazi wa kijiji cha Ikondo jimbo la Lupembe wilayani Njombe,amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 9. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, John Makuri Imori, ameeleza hukumu hiyo…




