Latest Posts
Ndege ya ATCL yashikiliwa Uholanzi
Serikali imekiri kushilikiwa kwa ndege Airbus A220 tangu Januari kwenye kiwanja cha ndege cha Maastricht Aachen nchini Uholanzi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Feleshi amesema kuwa ndege inashikiliwa baada ya mwekezaji wa Kiswidi kushinda tuzo ya dola za kimarekani…
TRA yaibuka mshindi wa jumla tuzo za NBAA
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora wa taarifa za hesabu mwaka 2021 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu katika Taasisi za Umma yaani mfumo wa…
Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa Ukimwi Pwani chapungua
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo ,mkoani Pwani kimeshuka kutoka asilimia 5.9 hadi kufikia asilimia 5.5. Akitoa hali ya kiwango Cha maambuzi ya ugonjwa huo, katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi…
Kanoute mchezaji bora Novemba
Kiungo wa Simba SC, Sadio Kanoute, ametwaa tuzo wa mchezaji bora wa Simba kwa mwezi Novemba baada ya kuwashinda beki Shomari Kapombe na kiungo Mzamiru Yasin kwa kura zilizopigwa na mashabiki wa timu hiyo. Kwa ushindi huo Sadio Kanoute atapata…