JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia awataka Yanga waboreshe maslahi ya wachezaji, wamalize mzozo wa Fei Toto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wadhamini wa Young Africans SC kuwaboreshea wachezaji maslahi yao sanjari na kuwakumbusha kukaa meza moja kufanya mazungumzo na Kiungo Feisal Salum (Feitoto). Rais Samia amesema hayo…

Shirika la Akili Platform lashiriki Siku ya Mazingira Duniani kwa kutoa elimu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Shirika la Akili Platform Tanzania linalojiusisha na afua ya Afya ya Akili, mazingira na haki za binadamu Tanzania leo Juni 5 , 2023 Siku ya Mazingira Duniani wameshiriki kwa vitendo katika kutunza mazingira kwa kufanya usafi…

Sayansi na Teknolojia kuchochea maendeleo nchini

Na Immaculate Makilika , JamhuriMedia, MAELEZO Serikali imesema kuwa imejipanga kuhakikisha sayansi na teknolojia inatumika ili kuleta chachu katika maendeleo nchini. Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu Kongamano la Kitaifa la Nane la…

Majaliwa:Watendaji wa Serikali zingatieni sheria

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa idara na taasisi zote za Serikali watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia sheria hususan katika huduma wanazozitoa na miradi wanayoisimamia ili kuiepusha Serikali kuingia katika migogoro ambayo inaweza kuepukika. “Watendaji wote wa Serikali zingatieni…

TMA yatoa angalizo ya mvua kubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili  ya kunyesha kwa mvua kubwa  kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba)….