Latest Posts
NMB yaibuka kinara tuzo za TRA
Benki ya NMB imeibuka kinara katika tuzo za mlipa kodi mkubwa zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA). Benki hiyo imeshinda tuzo tatu zinazoitambua kama mlipa Kodi Mkubwa nchini kwa mwaka 2021/2022. Tuzo hizo ni mshindi wa kwanza; taasisi inayozingatia…
Afrika Kusini kufanya tamasha lake la utamaduni nchini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewataka Watanzania kujitokeza katika msimu wa Tamasha la utamaduni la Afrika ya kusini litakalofanyika kwa wiki moja. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Said Yakubu…
‘Kukwepa kutumia maabara kumechangia ongezeko la magonjwa’
Na Catherine Sungura,JamhuriMedia,Dodoma Tanzania inakabiliwa na magonjwa ya kuambukizwa kwa asilimia 95 kutokana na baadhi ya watumishi kutopenda kutumia huduma za maabara hali hiyo imesababisha wagonjwa wengi wamekuwa wakitibiwa bila kupata uhakiki wa majibu kutoka maabara huku asilimia 90 ya…
Mchungaji,wanawe wawili watuhumiwa kuua mtoto wakimuombea
Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe Mchungaji wa Kanisa la Uinjilisti Tanzania, Julius Mwasimba (57), na watoto wake wawili wanashikiliwa Plisi mkoani Songwe wakituhumiwa kumfungia ndani mtoto (wa mchungaji) kwa siku tatu ili kumuombea. Inadaiwa kuwa kwa siku zote hizo, watuhumiwa wote watatu pamoja…
TMA yaeleza sababu za ongezeko la joto nchini
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ,imesema kutakuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hali ambayo imesababisha kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa…