Latest Posts
TMA yajipanga kutekeleza mikakati ya utoaji huduma
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA),imeendelea kutekeleza kwa ufanisi majukumu yake iliyopewa na Shirika la Hali ya Hewa Duniani ambapo imejipangia kutekeleza mikakati kadhaa itakayisaidia utoaji huduma za hali ya hewa nchini Hayo yamebainishwa leo Novemba…
Masauni atoa siku 14 wafugaji kuondoka maeneo yasiyoruhusiwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewapa siku 14 Jeshi la Polisi Mkoani Lindi kuwaondoa wafugaji katika maeneo ya ambayo hayajatengwa na Serikali Wilayani Liwale kwa ajili ya shughuli za ufugaji. Waziri Masauni ambaye pia aliambatana…
Tanzania yaongoza kwa idadi kubwa ya nyati Afrika
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ametangaza matokeo ya sensa ya wanyamapori iliyofanyika mwaka huu ambapo Tanzania inatajwa kuongoza kwa idadi kubwa ya nyati Barani Barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805….
Serikali kuwajengea uwezo wataalamu wa nusu kaputi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Wizara ya Afya kwa kushirikiana na vyama vya kitaaluma inatekeleza Mkakati wa kuwajengea uwezo watumishi wa vituo vya huduma za Afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi hospitali za Taifa…