JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia ampongeza Rais wa China Xi Jinping

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa China Xi Jinping, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC). Rais Samia ametoa pongezi hizo leo…

Majaliwa kukutana na wamiliki wa makampuni makubwa Korea Kusini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumatatu, Oktoba 24, 2022) amewasili Seoul, Jamhuri ya Korea Kusini kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Togolani Mavura pamoja na baadhi ya watanzania wanaoishi katika nchi…

Makama ataka halmashauri kuacha kubagua miradi

Na Robert Hokororo,JamhuriMedia Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama ameonesha kutoridhishwa na usimamizi wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula unaotekelezwa katika Halmashauri ya Nzega mkoani Tabora. Pia ameshangazwa na…