JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Ummy:Bima ya afya haitakuwa na matabaka

Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema Muswada wa bima ya afya unalenga kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wote bila kujali tajiri au maskini hivyo hautakua na matabaka. Waziri Ummy amesema hayo leo 18 Oktoba 2022 wakati akiwasilisha muswada huo…

Rais Samia awashika mkono akina mama waliojifungia njiti

Rais Samia ametoa msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma. Mahitaji hayo yamekabidhiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki kwa niaba ya Rais Samia, mara baada…

Majaliwa akutana na madudu Namtumbo, aagiza milango 10 ing’olewe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Namtumbo na kusema Serikali haiwezi kukaa kimya huku baadhi ya watumishi wakifanya vitendo vya hovyo. “Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameleta shilingi bilioni 7 za ujenzi wa hospitali hii….

Wananchi Manispaa ya Songea waiangukia TANROADS

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea WAKAZI wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wameiomba Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuona umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa Barabara ya Mtwara Corrido (Songea by Pass) ambayo itasaidia kuondoa msongamano wa maroli katikati ya mji…

Serikali:Kila la heri Serengeti Girls

Na Shamimu Nyaki,JamhuriMedia Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul ameitakia kila la heri Timu ya Wasichana chini ya miaka 17, (Serengeti Girls) katika mechi ya mwisho ya Kundi D dhidi ya Canada, itakayochezwa leo, Uwanja wa DY…