JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Simbachawane- Vitambulisho vya NIDA kuunganishwa na huduma nyingine

Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Kibaha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema Mkoa wa Pwani unakua kwa kasi kiuchumi, akisisitiza kuwa maendeleo hayo yanapaswa kuwanufaisha wananchi wazawa katika sekta za uzalishaji na ajira. Simbachawene alitoa kauli hiyo…

Pwani yaweka mkakati kuacha tabasamu kwa wananchi ndani ya siku 100 za rais

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani umejipanga kuhakikisha wananchi wa mkoa huo wananufaika moja kwa moja na utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100, kwa lengo la kuacha tabasamu na kuboresha huduma…

Tanzania na Uturuki kuimarisha uwezeshaji wa vijana na wanawake

Na WMJJWM- Uturuki Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuanzisha makubaliano yatakayowezesha vijana kutoka Tanzania kunufaika na fursa za mafunzo, uzoefu wa biashara na kuunganishwa na vijana wenzao kupitia Jukwaa la Young MÜSIAD ili kukuza mtandao wa biashara, ujuzi na kutengenenza rasilimaliwatu…

Mabalozi wa Utalii waahidi kuulinda Ushoroba wa Kwakuchinja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Wanafunzi 40 walioteuliwa kuwa Mabalozi wa Uhifadhi na Utalii, wilayani Babati mkoa Manyara, wameahidi kuyalinda mapito ya wanyama(shoroba) ya kwakuchinja,yaliyopo katika eneo la Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori ya Burunge, iliyopo kati kati ya hifadhi…

Wizara ya Viwanda na biashara yapania kuanzisha kongani

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imepanga kuanzisha kongani za biashara katika kila wilaya nchini kuwasadia Wakulima,Wafanyabiashara na Vijana kuchakata mazao ili kuyaongezea thamani. Akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Urithi wa Ukombozi jijini Dar es…

Msigwa :Waandishi Vita ya Dunia imehamia kwenye taarifa za mtandaoni kuweni makini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Greyson Msigwa, amewataka waandishi wazalishaji habari mtandaoni kutambua kuwa dunia ya vita yake haitumii silaha…