JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais wa Iran awaomba radhi majirani, akataa kusalimu amri

Rais wa Iran ameomba radhi kwa kuyashambulia mataifa ya kikanda, lakini ameendelea kuikosoa Marekani. Kauli yake imekuja wakati makombora na droni za Iran vikiendelea kuruka kuelekea Israel na mataifa ya Ghuba ya Kiarabu. Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ametupilia mbali…

Salome aibana Kampuni ya Dongfang kwa kasi isiyoridhisha mradi wa umeme Malagarasi

📌Atoa maelekezo mahsusi kwa Mkandarasi na Wasimamizi wa mradi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Salome Makamba leo amekagua utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa Malagarasi (MW 49.5) unaotekelezwa katika Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma ambapo…