Latest Posts
Tanzania yang’ara mkutano wa CITES nchini Panama
Tanzania imechaguliwa kuwa Mjumbe wa Akiba wa Kamati Kuu upande wa Kamati ya Wanyamapori na mjumbe wa Kamati ya Mimea kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kwa nchi Wanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa Biashara ya Wanyamapori na Mimea iliyohatarini…
Makala: Tusafishe mitaro mvua zimeanza kunyesha
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala amewataka wakazi wa mkoa huo kuhakikisha wanafanya usafi wa mara kwa mara katika maeneo yao Ili watalii na wawekezaji waone Mkoa huo unang’aa. RC Makala ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza…
Wajitokeza kupata elimu ya sekta ya Hifadhi ya Jamii
Wakazi wa mkoani Mwanza na maeneo ya jirani ya mkoa huo wamejitokeza kwa wingi kupata elimu ya Sekta ya Hifadhi ya Jamii kwenye banda la Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu ambapo kupitia Idara ya Hifadhi…
Serikali yajipanga kutatua changamoto zinazokabili huduma ya malezi ya kambo na kuasili.
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema ipo katika mchakato wa kupitia upya Sera na taratibu zilizipo kwasasa ili kuweka utaratibu mzuri utaowezesha kupunguza changamoto katika zoezi la Kuasili na Malezi ya Kambo kwa…
Miili Watoto watatu waliofariki kwa ajali ya moto yaagwa leo Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema leo ameongoza shughuli ya kuaga miili ya watoto watatu wasioona waliofariki kwa ajali ya moto ulioteketeza bweni katika shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga na kusababisha vifo vya watoto hao. Shughuli ya…
IGP Wambura afanya ziara nchini Thailand
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camilius Wambura amefanya ziara chini Thailand na kutembelea kituo cha simu za dharura jijini Bangkok kinachohusika na kupokea, kuchakata na kusambaza taarifa za Uhalifu, Wahalifu na Majanga mbalimbali. IGP Wambura akiwa ameambatana na…





