Latest Posts
Masanja:Tuwaunge mkono wanaoshiriki kutokomeza ukatili
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza amesikitishwa na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia ambavyo ni moja ya kisababishi cha watoto kuishi katika mazingira hatarishi. Akizungumza katika hafla ya kusaidia watoto…
TFS yawataka wananchi kutunza mazingira
KAMISHINA wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. DoS Santos Silayo amewata wakulima kulima na kutunza mazingira ili kuendelea kupata mvua za kutosha. Ni katika Kongamano la Wahariri na Wadau wa Uhifadhi, Mazingira na Utunzaji wa…
Serikali yatakiwa kufanya maamuzi magumu kuliokoa bonde la Ihefu
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Iringa Serikali imetakiwa kufanya maamuzi magumu ili kuokoa chanzo cha maji cha Bonde la Ihefu ambalo limevamiwa na familia 12 na kusababisha chanzo hicho kukauka. Akizungumza katika Kongamano la Wahariri wa Wadau wa Uhifadhi Mazingira na…
Ujazaji maji bwawa la umeme JNHPP mbioni kutegua kitendawili cha muda mrefu
Na Zuena MsuyaJamhuriMedia, Pwani Waziri wa Nishati, January Makamba amewaeleza watanzania kuwa zoezi la kuanza kujaza maji katika Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JHPP) litaanza tarehe 22 Desemba 2022 na kushuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Ni Argentina bingwa Kombe la Dunia 2022
Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kutwaa ubingwa wake wa tatu wa Michuano ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa jumla ya mikwaju ya Penalti 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa kwenye mchezo uliohitimishwa kwa dakika 120’…
Bado mnawataka TAKUKURU kwa makipa?
Nadhani mjadala wa kutaka Nahimana achunguzwe utakuwa umefika mwisho. Timu zetu zina makipa lakini kuna tatizo kubwa la makocha wa magolikipa. Tumeshuhudia makipa wazuri wakisajiliwa katika timu zetu wakiwa bora lakini baada ya muda viwango vyao vinashuka kadri muda unavyokwenda. …





