JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mchango wa mlemavu wamng’oa mwenyekiti

MOROGORO Na Mwandishi Wetu Wakazi wa Lukwenzi, Mvomero mkoani Morogoro wamemwondoa madarakani Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Zakaria Benjamin, wakimtuhumu kupoteza fedha za umma, zikiwamo Sh 350,000 zilizotolewa na Maria Costa ambaye ni mlemavu. Benjamin amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara kwenye…

Umoja wa Ulaya wavurugana

BRUSSELS, UBELGIJI Wanachama wa Jumuiya ya Ulaya wameanza kuvurugana baada ya baadhi yao kukataa kuutambua mkataba unaounda umoja huo kuwa una nguvu kuliko sheria zao za ndani. Poland ndiyo inayoongoza kupinga ukuu wa mkataba wa Jumuiya ya Ulaya dhidi ya…

Waliomzamisha Sabaya

*Mashahidi wazungumza na JAMHURI, walieleza ya moyoni *Wamsifu Rais Samia kurejesha utawala wa sheria nchini *Wataka wateule wapate fundisho kwani ipo siku yatawakuta *Gazeti la JAMHURI lilikuwa la kwanza kufichua uovu wake DAR ES SALAAM, ARUSHA Na Waandishi Wetu Mashahidi…

Sengerema wamjaribu Rais Samia

SENGEREMA Na Antony Sollo Fedha zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, zimeliwa. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa wizi wa fedha hizo umefanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa kadhaa wa…

Mgongano ajira Polisi

*Kauli ya Simbachawene yadaiwa kudhalilisha makonstebo DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Sifa za vijana wanaoomba ajira katika majeshi kuwa na ufaulu wa daraja la nne zimezidi kuibua mgongano wa kauli baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,…

Hatua hii ya Serikali iwe ya kudumu

Serikali imeamua kwa makusudi kuwapanga wafanyabiashara wadogo na jana ilitarajiwa kuwa siku ya mwisho kwa wafanyabiashara hao maarufu kama wamachinga wa Dar es Salaam kuondoa vibanda vyao katika maeneo yasiyo rasmi. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa maelekezo ya…