Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Marekani Joe Biden mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Marekani Jijini Washington D.C. tarehe 14 Desemba, 2022. Kulia ni Jill Biden Mke wa Rais wa Marekani Joe Biden