Latest Posts
Mkulima mbaroni kwa tuhuma za kushusha hadhi ya Rais Samia na Msataafu Kikwete kupitia TikTok
Mwanamme mmoja mkazi wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Wabunge wakoshwa na mchakato wa mapendekezo ya sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri WADAU wa Haki ya Kupata Habari nchini (CoRI), wamekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wabunge, kwa lengo la kuongeza ufahamu kuhusu mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari. Kikao hicho kimefanyika jijini Dodoma tarehe 10…
TMA: Mvua kubwa kuanza kunyesha kesho
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kunyesha kwa mvua kubwa kuanzia kesho Novemba 11 katika maeneo mbalimbali nchini. TMA imesema mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa muda wa siku tatu kwenye mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Shinyanga, Tabora,…
Tanzania tishio wagonjwa wengi wa sikoseli, ya tano Duniani na ya tatu Afrika
Takwimu zinaonesha kuwa watoto takribani elfu Kumi na Moja huzaliwa na ugonjwa wa Sikoseli kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa huduma za Tiba Prof. Paschal Ruggajo wakati wa…
Serikali yawapongeza wabunge kuwa msitari wa mbele elimu ya malezi kwa watoto hatua za awali
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maaalum imewapongeza Wabunge kwa utayari wao na kuwa mstari wa Mbele katika suala la Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto. Akifungua Semina kwa Wabunge kwa…
Waziri Mabula asitisha vibali vya ujenzi vituo vya mafuta
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula amesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya ujenzi wa vituo hivyo kwa muda wa miezi mitatu…





