Latest Posts
‘Matusi’ hayakwepeki Bongo Fleva?
Kumekuwa na malalamiko yanayozidi kushika kasi kutoka kwa wadau wa soko la muziki wa Bongo Fleva siku za hivi karibuni, kwamba nyimbo nyingi zinazotungwa na kuimbwa na wasanii wa muziki huo zimekuwa na kasoro za kimaadili, hazina viwango vya kutosha…
AFCON acha tu
Wakati michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ikiendelea nchini Misri hii leo ili kukamilisha hatua ya makundi, makundi mawili yataingia uwanjani kupepetana ili kuungana na timu nyingine waweze kufuzu hatua inayofuata ya mashindano hayo. Makundi hayo yaliyosalia ni…
Mwenyekiti CWT adanganya
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Clement Mswanyama, amewadanganya walimu na Watanzania kwa ujumla juu ya umiliki wa mali za walimu, JAMHURI linathibitisha. Hivi karibuni, Mswanyama ameitisha mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma na…
Posta na fikra za analojia!
Mabadiliko ya ulimwengu wa leo yamemfanya Mpita Njia (MN) naye aishi kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Ni kwa sababu hiyo, naye amejikuta analazimika kujua namna ya kuingia kwenye mitando na ‘kuchati’ japo kasi yake si kama ya wenye…
Mapya vitambulisho vya ujasiriamali Kwimba
Vitambulisho vya Rais John Magufuli vya wajasiriamali vimezua sokomoko baada ya kaya maskini zilizomo kwenye mpango wa kusaidiwa fedha kutoka katika Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAF) kuamriwa kulipia vitambulisho hivyo. Hali hiyo imetokea wilayani Kwimba, Mkoa wa Mwanza,…
Mhasibu Wizara ya Afya kizimbani
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Mhasibu wa Wizara ya Afya, Yahaya Athuman (39) akishitakiwa kwa makosa 20 yakiwamo ya kughushi nyaraka na kuisababishia serikali hasara ya Sh milioni 34 zilizotolewa na serikali mwaka 2014 kwa…