Latest Posts
Simba mikononi mwa mabingwa CAF
Wakiwa na hesabu za kuvaana na Ihefu kesho mchezo wa Khatua ya robo fainali Azam Sports Fedration wameshatambua kigongo watakachokutana nacho kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni Wydad Athletic Club hawa watamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira…
Msukumo wa Rais Samia Sekta ya Madini, wachangia Trilioni 1. 19/-
Imeelezwa kuwa msukumo uliowekwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu katika Sekta ya Madini umewezesha kuongeza kasi ya ukuaji wa sekta ndogo ya madini ya Viwandani ambapo katika kipindi cha miaka miwili madarakani, mchango wa…
Sabaya aachiwa huru
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Moshi Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi,imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya. Sabaya amefutiwa mashtaka saba yaliyokuwa yakimkabili leo Aprili 5,2023 likiwemo la uhujumu uchumi, kuongoza genge la uhalifu na matumizi mabaya…
Watoto wawili watumbukia chooni na kufariki
Na Allan Vicent,JamhuriMedia, Tabora Watoto wawili wa familia moja katika Kijiji cha Itetemia, Kata ya Itetemia katika Halmashauri ya Manispaa Tabora wamepoteza maisha baada ya kutumbukia katika shimo la choo lililokuwa limejaa maji. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani hapa…
Majaliwa: Tanzania kinara masuala ya maafa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kusaini mkataba wa kuanzisha Kituo cha Huduma za Binadamu na Operesheni za Dharura cha Kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). “Lengo la kuanzisha kituo hicho ni kusimamia…




