Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 2, 2022
Kitaifa
Mwinyi apokea ripoti ya kamati kuhusu demokrasia ya vyama vingi
Jamhuri
Comments Off
on Mwinyi apokea ripoti ya kamati kuhusu demokrasia ya vyama vingi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya mapendekezo ya Kamati Maalum iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya
Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt.Ali Ahmed Uki (kulia) hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Baadhi ya Waalikwa kutoka taasisi mbali mbali waliofadhili na kufanikisha
mkutano wa
Wadau wa Demokrasia ya
Vyama vingi vya Siasa,wakiwa katika hafla ya kukabidhi ripoti ya kamati maalun iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Vuai Ali Vuai kutoka CCM,
mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa
Wadau wa Demokrasia ya
Vyama vingi vya Siasa,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Jussa Ismail Ladhu kutoka ACT Wazalendo,
mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa
Wadau wa Demokrasia ya
Vyama vingi vya Siasa,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi cheti Mhe.Balozi Dkt. Amina Salu Ali Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maalum (kikosi kazi) katika hafla ya kukabidi ripoti ya mapendekezo ya Kamati hiyo iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya
Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt.Ali Ahmed Uki (kulia) hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Rukia Kassim Ahmed (kutoka CUF),
mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa
Wadau wa Demokrasia ya
Vyama vingi vya Siasa,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Post Views:
182
Previous Post
“Watu bilioni 3.6 hatarini kuathiriwa na mabadiliko ya tabianchi duniani'
Next Post
Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa China
Rais Samia azungumza na Balozi wa Japan hapa nchini
Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu NMB
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Habari mpya

Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles
-Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi Afrika katika mkutano wa Nishati wa Mision 300′
Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini
Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Simba yazidi kuchanja mbuga
Balozi Nchimbi amjulia hali Mzee Mangula
Maria Sarungi atekwa Nairobi