JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NEMC yateketeza tani 44.4 ya mifuko iliyopigwa marufuku

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeteketeza vifungashio tani 44.4 ambavyo vimepigwa marufuku kwa matumizi, ambapo uteketezaji huo umefanyika katika kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika zoezi hilo ambalo limefanyika…

Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mkewe aliyemnyima ‘unyumba’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Katavi imehukumu Titus Malambwa (28), mkazi wa Kijiji cha Ntibili Mpimbwe Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mke wake kwa makusudi wakati wakiwa…

TCRA:Kuna ongezeko kubwa la watumiaji huduma za kifedha mtandaoni

•Asilimia 41 hutumia huduma za kifedha kwa mtandao Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Matarajio ya Tanzania kujenga uchumi jumuishi yanaonyesha nuru baada ya takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuonyesha ongezeko kubwa la watumiaji wa huduma za kifedha…

Balaa Magomeni Kota

Na Alex Kazenga,JamhuriMedia, Dar Licha ya ahadi ya serikali ya kuwapa kipaumbele wakazi ‘asilia’ wa Magomeni Kota kupata makazi katika majengo ya kisasa, takriban familia 21 zimetoswa; JAMHURI limebaini. Familia hizo ni miongoni mwa 644 zilizolazimika kulihama eneo la Magomeni…

Vikundi 129 va Manispaa ya Tabora vyakopeshwa mil.685.5/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Halmashauri ya Manispaa Tabora imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 685.5 kwa vikundi 129 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022. Hayo yamebainishwa juzi na Mkurugezi Mtendaji wa Manispaa…