JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Taifa Stars yajiweka njia panda kufuza CHAN 2023

Timu ya Taifa Stars imejiweka njia panda kufuzu Michuano ya Wachezaji wa ndani (CHAN) mashindano yatakayofanyika nchini Algeria 2023 baada ya kuchapwa bao 1-0 na Uganda mchezo uliopigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Akitokea benchi Mshambuliaji…

Japan yaonesha nia ya kukisaidia chuo kikuu Dodoma

KAMPUNI ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba…

Rais Samia kufungua kikao kazi cha Polisi

Jeshi la Polisi Tanzania lingependa kuwajulisha kuwa katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoa wa Kilimanjaro maarufu (CCP) kutafanyika kikao kazi cha Maafisa Wakuu waandamizi wa Makao Makuu, Makamanda wa Polisi Mikoa na Vikosi, kitakacho fanyika siku tatu…

Wizara zaweka mikakati kuweka mazingira wezeshi kwa wazee

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Wizara ya Fedha na Wizara ya Maji zimekubaliana kuweka mikakati…

Japan yatoa dola bilioni 30 kusaidia nchi za Afrika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia SERIKALI ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya…