JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yatoa siku saba kwa maeneo yanayofanya uchafuzi wa mazingira unaotokana na kelele kujitafakari

Serikali imetoa siku saba kwa maeneo yote yanayofanya uchafuzi wa mazingira unaotokana na kelele na mitetemo kurekebisha changamoto hiyo na kulielekeza Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuyafungia maeneo yatakayokaidi maelekezo hayo. Pia imewataka wamiliki wa maeneo ya…

Dkt.Mpango aitwisha mzigo UWT Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Isdor Mpango ,amemuagiza Mwenyekiti wa UWT Mkoani Pwani Zainabu Vullu kuhakikisha anavunja makundi yanayoendelea ndani…

Breaking News: Watu 17 wafariki, 14 ni wa familia moja

Watu 17, ambapo 14 ni wa familia moja, wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Magira Gereza, Tarafa ya Mombo wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya…

Shigela:Nendeni mkatekeleze majukumu yenu kwa kufuata Sheria

Wakuu wa Wilaya ya Magu na Ukerewe wameapishwa leo kufuatia uteuzi uliofaywa na Rais wa Jamuhri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani Januari 25,2023. Uapisho huo umefanyika leo Feburuari 3,2023 kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Akizungumza…