JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

‘Tulilinde daraja la Wami lilivyosanifiwa kwa miaka 120 ijayo’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Daraja jipya la kisasa Wami ambalo linaunganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani pamoja na mikoa ya Kaskazini limeanza kutumika rasmi oktoba 27, mwaka huu ambapo linakwenda kuwa tija kwa takriban miaka 120 ijayo. Aidha daraja hilo,…

Bodi yaanza kukabiliana na upungufu wa maji Ruvu

Serikali kupitia Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu imeanza kukabiliana na changamoto ya upungufu wa kina cha maji cha mto Ruvu na mto Wami kwa kuanza kutoa vibari kwa mamlaka za maji kuchimba visima vitakavyosadia kupunguza adha ya maji…

EBN yachimba mabwawa kusaidia wanyamapori kukabiliana na Ukame

Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Babati Taasisi EBN ambayo inamiliki Kitalu Cha uwindaji katika eneo la jumuiya ya uhifadhi wa Wanyamapori ya Burunge ,imechimbwa bwawa ili kusaidia wanyamapori kupata maji. Uamuzi huo umefikiwa kutokana na Ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi umeanza…

Ujerumani kuhalalisha bangi kama kiburudisho

Serikali ya Muungano ya Ujerumani imekubaliana juu ya mpango wa kuhalalisha kisheria matumizi ya bangi kama kiburudisho miongoni mwa watu wazima. Mtu ataruhusiwa kumiliki na hadi gramu 30 (1oz) kwa ajili ya matumizi ya kibinafsi. Maduka ya kawaida yaliyopewa leseni…

Watoto sita wa familia moja wapatikana na Ebola Uganda

Watoto sita wa familia moja ya Kampala wamepata maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, wamesema maafisa katika mji mkuu Kampala. Kwa wiki nne madaktari wamekuwa wakitoa wito wa hatua kali za kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi mjini Kampala. Virusi vya…

Halotel yaongoza kwa intaneti yenye spidi nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia KAMPUNI ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania imeshika usukani mara ya tatu kwa kuwa na huduma ya intaneti yenye spidi ya kasi zaidi ukiliganisha na kampuni nyingine zinazotoa huduma. Kwa mujibu wa ripoti ya robo ya…