JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mourinho, mwisho wa enzi!

NA MWANDISHI WETU Alexis Sanchez anaweza kuwa ameokoa kibarua cha Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, kufukuzwa mapema wiki hii baada ya kuwafunga Newcastle United 3-2 mwishoni mwa wiki. Endapo Jose Mourinho ‘The Special One’ atafungashiwa virago, Meneja wa Tottenham, raia…

SAM MANGWANA Mwanamuziki asiyechuja

NA MOSHY KIYUNGI Jina la Sam Mangwana si geni masikioni mwa wapenzi wa muziki wa dansi Afrika Mashariki na Kati. Ni mwanamuziki mwenye vipaji vya utungaji na kuimba nyimbo za muziki wa dansi akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mangwana…

Rais Recep Tayyip Erdogan aihoji Saudia kutoweka kwa Mwandishi

Rais wa Uturuk Recep Tayyip Erdogan ameitaka Saudia kutoa ushahidi kuhusiana na mwandishi wa habari aliyepotea kwamba alitoka nje ya majengo ya ubalozi wao mjini Istanbul. Mwandishi huyo raia wa Saudia Jamal Khashoggi kwa mara ya mwisho alionekana katika jengo…

Rais Donald Trump Amwagia Sifa Jaji mkuu mteule

Rais wa Marekani Donald amemuomba radhi kwa niaba ya raia wa Marekani Jaji mkuu mpya Brett Kavanaugh kwa kile alichokiita kwamba ni kampeni chafu za kisiasa zilizolenga kuharibu sifa binafsi ya Brett kutokana na mambo ya uzushi na uongo. Trump…

KLABU YA SIMBA YASITISHA RASMI MKATABA NA KOCHA WAKE MSAIDIZI

Uongozi wa Klabu umeuvunja rasmi mkataba na kocha wake msaidizi Irambona Masoud Djuma kuanzia leo Oktoba 8, 2018 Taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo imesema uamuzi huo umekuja baada ya mazungumzo kwa pande zote mbili hivyo ni kwa faida ya…