JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kudumu Ligi Kuu uwe roho ngumu

Siku zote wachezaji wavivu ndio wanapenda kulalamika mno uwanjani. Kauli kama hii iliwahi kusikika: “Aaah! Ticha inatosha bwana, kwa leo inatosha.” Huyo ni mchezaji wa zamani wa Yanga akimwambia kocha wake kuwa muda wa mazoezi umekwisha, hivyo apulize filimbi ya…

Bundi atua wizarani

Baada ya gazeti hili la uchunguzi, JAMHURI, kuandika kuhusu ubovu wa matrekta wanayouziwa wakulima nchini wiki iliyopita, Bunge kupitia Kamati ya Viwanda na Biashara limeingilia kati kunusuru nchi kuingia katika madeni yasiyo na faida, hivyo kumwita Waziri wa Viwanda na…

Hii Barack Obama vipi?

Mpita Njia (MN) anawapongeza viongozi wote walioandaa Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Mkutano huo umeshuhudia Rais John Magufuli akikabidhiwa kijiti cha kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo muhimu sana kwa nchi za kusini mwa Afrika….

Bili za miili sokomoko Muhimbili

Baadhi ya ndugu hulazimika kutelekeza miili ya wapendwa wao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana hali ngumu ya uchumi, JAMHURI limeelezwa. Ndugu hao huchukukua hatua hiyo baada ya kushindwa kulipia gharama  za matibabu za mpendwa wao alipokuwa akiendelea na matibabu. Ofisa Ustawi…

Maji sasa ni anasa Mwanza

Maji ni anasa katika Jiji la Mwanza, hivyo ndivyo mtu anavyoweza kuelezea kulingana na ongezeko la bei ya maji katika Jiji la Mwanza. Ongezeko la bei ya maji kwa ndoo moja ya lita 20 imepanda kutoka Sh 14 hadi kufikia Sh 24.50. Yaani imeongezeka…

Kushangilia wanaotuumiza ni kukosa uzalendo kwa nchi

Hadi tunakwenda mitamboni, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilikuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini kutokana na amri ya mahakama. Sababu za kukamatwa kwa ndege hiyo bado hazijawekwa bayana, japo kuna maelezo kuwa hatua hiyo imetokana na serikali yetu kudaiwa….