Latest Posts
Yanga ‘kujifungia’ Kigamboni Dar
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, na Michuano ya ASFC, Young Africans SC wamethibitisha kuwa wataweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano jijini Dar es Salaam katika hosteli za Avic Town, Kigamboni. Akizungumza…
Serikali yamaliza kiu ya wananchi kutumia mitumbwi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera SERIKALI imemaliza kiu ya wananchi wanaotumia barabara ya Orthodox-Rwenkorongo-Chonyonyo kwa kutatua changamoto ya kutumia mitubwi kama njia ya usafiri kuvuka eneo la barabara lenye tingatinga umbali wa kilomita 0.25 kwenda kupata huduma za kijamii. Hayo yameelezwa na…
Jaji Mkuu:Wadau msibaki nyuma safari ya Mahakama Mtandao
Magreth Kinabo na Mary Gwera,JamhuriMedia Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema kwamba wadau wa Mahakama ya Tanzania wasibaki nyuma katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wakati huu Mahakama inapoelekea kwenye Mahakama mtandao ‘e-Judiciary’. Akizungumza na…
Matajiri ‘wategesha bomu’ Nyamongo
*Likilipuka litaufilisi mgodi, litawaachia wananchi umaskini * Wengi wao ni kutoka Dar es Salaam, Mwanza *Serikali yaombwa kuingilia, kuzuia hali ya hatari TARIME Na Mwandishi Wetu Wakati serikali ikifanya jitihada kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji kwa manufaa ya wananchi, baadhi…
Yametimia vigogo Dar
*Wakabidhiwa Takukuru kwa mahojiano *JAMHURI yadhihirisha umahiri wake licha ya Mkurugenzi wa Jiji kutishia kulishitaki kwa kuandika habari hiyo DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye yametimia. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwasimamisha kazi vigogo…
Hifadhi ya Ngorongoro itadumu?
DAR ES SALAAM NA THEONESTINA KAIZA-BOSHE Katika makala iliyopita nilizungumzia mazuri, shutuma na ya kujifunza kuhusu hatua ya serikali kuhamisha Wamasai kwa hiari kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwenda Kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga. Nikaipongeza kwa tukio…




