JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tufikirie kuleta waamuzi kutoka nje

Sitaki kuzungumzia matokeo ya mechi kati ya Yanga dhidi ya Simba. Kila mtu anajua matokeo yake. Kuna yaliyowafurahisha na wengine wamekereka. Ila kwa ujumla ninataka tutazame juu ya waamuzi wetu ndani ya Ligi Kuu. Na sitaitumia tu mechi hiyo kuangalia…

Yanga, Simba funzo tosha

Rais John Magufuli kuna kitu alikifanya kizuri zaidi Jumapili. Siku ambayo Yanga iliivaa Simba na kuondoka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ile kwenda uwanjani tu, ilikuwa hamasa tosha na kuonyesha kuna ‘derby’…

Utata balozi wa heshima

Utata umejitokeza kuhusu raia wa Tanzania anayejitambulisha kuwa na hadhi ya kibalozi, akiwa na hati mbili za kusafiria, ikiwamo ya nchi nyingine. Sambamba na hilo, pia ana majina yanayotofautiana katika hati zote mbili, lakini anasema hana kosa lolote.   Hati…

Msalaba Mwekundu ‘shamba la bibi’

Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS), kinakabiliwa na tuhuma za kulindana, kupeana na kupandishana vyeo kiholela, upendeleo, wafanyakazi hewa, kutolipa kodi kwa muda na kuajiri wataalamu wasio na sifa.  Kuna mkanganyiko wa muda mrefu wa nani hasa mwangalizi wa Chama…

Wajasiriamali ‘waliteka’ jiji

Vitambulisho vya wajasiriamali vilivyotolewa na Rais Dk. John Magufuli mwaka jana vimeyageuza maeneo mengi katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuwa masoko yasiyo rasmi, JAMHURI limebaini. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI na kuthibitishwa na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya…

Hofu parachichi kuipiku kahawa K’njaro

Serikali imeitaka jamii kuhakikisha inapinga ukatili wa aina zote ili kufikia malengo ya kuwa na kizazi chenye usawa kati ya wanawake na wanaume. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo…