Baadhi  ya watumishi wa umma wa wilaya ya Mkuranga wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Flex Garden Mkuranga, Novemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma wa wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kwenye ukumbi wa Flex Garden akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)