Latest Posts
Barua zenye maandishi mekundu yazua hofu kwa madiwani Mtwara
MADIWANI watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao. Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’ zimeandikwa…
Ujumbe Benki ya Dunia wakagua maendeleo ya mradi wa Tanzania ya kidijitali
UJUMBE wa Benki ya Dunia umetembelea Ofisi za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, zilizopo jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Mulembwa Munaku kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Tanzania…
Bei ya petroli, dizeli yaendelea kupaa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Bei ya mafuta nchini Tanzania, imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai 2022 ambapo petroli imepanda kwa Sh.190 kwa kila lita na Sh179 kwa kila lita ya dizeli huku mafuta ya taa yakipanda kwa Sh323…





