JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Hiki ni kizazi gani na tunaelekea wapi?

Kuna wakati huwa najiuliza, ni wapi ambapo tulikosea hii nchi yetu? Nchi iliyokuwa ya asali na maziwa katika uzalendo, maadili, uaminifu, utamaduni, mapenzi, upendo na mengineyo mengi tu. Najiuliza tuko wapi tulio hai mpaka leo na tunaojua ukweli wa asili…

Mkopaji kumfidia mdhamini wake mali ya mdhamini inapouzwa

Ni kawaida mali za wadhamini kuuzwa pale ambapo wale waliowadhamini wanaposhindwa kurejesha mikopo. Huwa inauma kwa sababu wakati mwingine mdhamini hakufaidika na mkopo, ila tu aliamua kumsaidia ndugu, rafiki, jamaa ili akope, asonge mbele, ila baadaye inakuja kuwa hivyo. Suala…

Kwenye msafara wa mamba, kenge wamo

Nawasifu sana wanaharakati kote duniani, ambao wanashikilia suala moja na kulipigania bila woga, bila kujali yatakayowakuta. Uanaharakati upo wa aina nyingi. Mtu yeyote anaweza kuwa mwanaharakati. Unaingia kwenye kundi hilo iwapo unajaribu kushawishi mabadiliko ndani ya jamii kwa madhumuni ya…

Mkasa wa 2Pac Shakur Malaysia (2)

Tupac alilelewa katika mazingira magumu, jamii yake ilimpatia jina la ‘Black Prince’ kwa kuwa mama yake alimpenda mtoto wake. Tupac alikulia katika mazingira ya ‘kitemi’ kutokana na kushindwa kupata malezi bora, huku mama yake akishindwa kuwa karibu ili kumlea mtoto wake,…

Henry aizamisha Monaco?

Nahodha wa zamani wa Klabu ya Arsenal na mchezaji wa klabu za Juventus, Barcelona, Red Bulls ya New York pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya AS Monaco inayoshiriki Ligi Kuu…

Microchip ya Mo

Watu waliomteka Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, walidhani hawatafahamika ila inaonekana walikosea kusuka mpango wao wa utekaji na sasa mambo yameanza kuwatumbukia nyongo, JAMHURI limefahamu. Vyanzo vya habari kutoka Uingereza, Afrika Kusini, Marekani na hapa nchini vimeliambia JAMHURI baada ya…