Latest Posts
Hongera Serikali kuzibana NGOs
NA ANGELA KIWIA Serikali imetoa maagizo kwa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na kuyataka kuyatekeleza ndani ya mwezi mmoja. Napenda kuipongeza serikali kwa hatua hii muhimu. Natambua wapo baadhi ya ndugu zetu hawatafurahia hatua hii ya serikali kuzibana NGOs, kwa…
Waandishi wa habari washinda kesi
MWANZA NA MWANDISHI WETU Mahakama ya Mkoa wa Mwanza imetupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari, Christopher Gamaina (Gazeti la Raia Mwema) na George Ramadhani (kujitegemea) waliotuhumiwa kujifanya maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za…
Idadi ya wazee kuongezeka
ARUSHA NA MWANDISHI WETU Idadi ya wazee nchini Tanzania inakadiriwa kuwa asilimia 11 ya watu wote ifikapo mwaka 2050. Hali hiyo inasababishwa na ongezeko la idadi ya watu na kuboreshwa kwa huduma za afya nchini. Mratibu wa Huduma za…
Korea Kaskazini yagoma kuharibu silaha
New York, Marekani Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Ri Yong-ho, ameonya kuwa hakuna namna ambayo nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo. Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini…
Tetemeko laacha maafa Indonesia
Jakarta, Indonesia Watu zaidi ya 380 wamethibitishwa kufa baada ya tsunami kusababisha tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richter 7.5, lililopiga mji wa Jakarta mwishoni mwa wiki. Upepo mkali ulivuma kutoka Palu katika Kisiwa cha Sulewesi kwa mita tatu. Video…
Mfugale Flyover ni ukombozi
Na Deodatus Balile Kwa muda mrefu ninapokuwa safarini huangalia jambo la kurejea nalo nyumbani. Nimesafiri nchi kadhaa duniani, hivyo nashukuru Mungu kuwa kusafiri huko kumeniongezea uelewa. Katika nchi nyingi, iwe zilizoendelea au zinazoendelea, zimeweka mtazamo na msisitizo mpya katika miundombinu….