Latest Posts
Tanzia: CCM Yapata Pigo, Guninita Afariki Dunia
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Taifa na baadaye akawa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita amefariki dunia leo Alhamisi, Septemba 13, 2018 alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu….
Makonda azua balaa bandarini
Na Mwandishi Wetu Makontena aliyoingiza nchini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, yameleta ‘shida sana’ bandarini na sasa mfumo wa kutoa na kuingiza makontena kwenda kwenye ICD utabadilishwa, JAMHURI limebaini. “Kwa kweli hapa tulikuwa tunaangalia bill of…
Bemba abeza uchaguzi DRC
Aliyekuwa mgombea urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Jean- Pierre Bemba, ameubeza uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu kwa kuufananisha na maigizo yaliyopangwa kutimiza matakwa ya wachache. Akizungumza na wanahabari mara baada ya jina lake kuwa…
Macron na Markel wajadili uhamiaji
Marseille, Ufaransa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, wamekutana mjini Marseille, Ufaransa kujadiliana kuhusu uhamiaji haramu kuelekea mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya Septemba 20, mwaka huu. Akimkaribisha Merkel katika kasri ya Pharo…
Rais Magufuli, meli umefuta kero
Wiki iliyopita Rais John Magufuli amefanya ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Moja ya ziara zilizotugusa ni ziara aliyoifanya mkoani Mwanza. Akiwa Mwanza amezindua ujenzi wa meli kubwa yenye uwezo wa kuchukua abiria 1,200, mizigo tani 400 na magari…