Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Polisi Kizimkazi, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Kizimkazi Dimbani leo tarehe 02 Septemba,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni wakati akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Polisi Kizimkazi, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chama la Miwaleni, Makunduchi Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Kizimkazi mara baada ya kufungua Kituo cha Polisi Kizimkazi, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2022.

By Jamhuri