Latest Posts
Kipilimba katika mgogoro wa ardhi
Balozi Dk. Modestus Kipilimba yumo kwenye mgogoro wa ardhi na baadhi ya wakazi wa Msakuzi, Mbezi Luis, Dar es Salaam wanaodai amewapoka maeneo yao kwa kutumia nafasi aliyokuwa nayo. Miongoni mwa wanaolalamika ni Rudolf Temba, ambaye amesema amedhulumiwa ekari 2.5…
Serikali yataka kuifumua sheria ya TLS
Serikali inalenga kufanya mabadiliko ya kiuundo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kupitia mabadiliko ya sheria iliyounda Chama hicho. Kupitia muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali namba 8, serikali inapendekeza kuanzishwa kwa ‘matawi’ ya TLS mikoani na katika kanda ambayo…
Mwalimu atengeneza pombe maabara, yaua
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu wamo katika hali mbaya baada ya kunywa pombe iliyotengenezwa na mwalimu wa somo la Kemia wa Shule ya Sekondari ya Chole. Miongoni mwa waliokunywa pombe hiyo ni Ramadhani Pakacha na Shaibu Pakacha, ndugu…
NHIF yawashtukia waliotaka kukwapua bil. 7/-
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wamefanikiwa kuwabaini wajanja waliokuwa wanataka kuuibia mfuko huo Sh bilioni 7.4 kupitia madai hewa. Hayo yamebainishwa hivi karibuni na Mkurugenzi Mkuu…
Wateja wa mama lishe hatarini kupata saratani
Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) limewaonya watu wanaokuka chakula kwa mama lishe ambao wanatumia karatasi za plastiki kufunika vyakula vyao kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata ugonjwa wa saratani. Aidha, NEMC pia imetoa onyo kwa watu wanaopenda…
Waandishi bado waipinga sheria inayowadhibiti
Wadau wa habari nchini wameendelea kuipinga sheria inayomtambua mwandishi wa habari kuwa mtu ambaye amepata elimu ya stashahada. Wakizungumza katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) hivi karibuni, wadau hao walidai kuwa pamoja na…




