JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mafanikio katika akili yangu (7)

Huu ni mwendelezo wa kitabu cha toleo la kwanza. Ni hadithi inayozungumzia mwenendo na ndoto ya kijana Noel ambaye alitokea katika familia duni na hatimaye akafanikiwa kwa kiwango kikubwa. Fuatilia hadithi hii yenye mafunzo na hamasa… Noel akiwa nyumbani kwa…

SAFARI YA DIAMOND PLUTNUMZ

Bila mama yake angekuwa wapi? (1) Licha ya nongwa na maneno ya kumchafua kwenye mitandao ya kijamii, Diamond Platnumz, anaendelea kutesa katika gemu la muziki wa kizazi kipya nchini na sehemu nyingine duniani. Hivi karibuni msanii huyo alitunukiwa tuzo ya…

Ya TFF hadi kwa Zahera

Kim Poulsen aliondolewa kazini bila kuwapo sababu zenye kuingia akilini. Alikuwa na  mipango ya kuleta mabadiliko ya uchezaji wa Taifa Stars ndani ya kipindi cha miaka mitano. Waliomuondoa hawakulifahamu suala hilo, ingawa ni jambo muhimu lenye kutakiwa kupewa kipaumbele. Ufundishaji…

Miaka minne ya kazi

Aliposhika Biblia na kuapa kuwa Rais wa tano wa Tanzania Novemba, mwaka 2015, Dk. John Magufuli, aliahidi kuleta mabadiliko makubwa kiuchumi na kijamii. Aliahidi kuipeleka Tanzania kwenye kipato cha kati kupitia uchumi wa viwanda. Alipolihutubia Bunge baadaye mwaka huo, akajipa kazi…

Mabilioni kuboresha miundombinu Ziwa Victoria

Serikali imewekeza zaidi ya Sh bilioni 300 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya usafiri ndani ya Ziwa Victoria, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas, amebainisha. Kati ya fedha hizo, Sh bilioni 150 zinatumika kwa ajili ya ujenzi wa meli…

Makonda aungwa mkono

Taasisi na watu binafsi wameendelea kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuwasaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa moyo. Wiki iliyopita Ubalozi wa nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ulitoa Sh milioni 27…