Latest Posts
KOCHA ALIYEIPA UBINGWA WA AFRIKA NIGERIA, ASAINI MIAKA MIWILI TAIFA STARS
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemtangaza kocha Emmanuel Amunike kutoka Nigeria kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”. Kocha huyo amefikia mwafaka na TFF ya kusaini kandarasi ya miaka miwili…
JASINTA MBONEKO ALA KIAPO CHA UKUU WA WILAYA YA SHINYANGA
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainab Telack amemuapisha Jasinta Venant Mboneko kuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga leo Jumatatu Agosti 6,2018. Hafla fupi ya kuapishwa kwa mkuu huyo mpya wa wilaya ya Shinyanga imefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa…
Kangi Lugola Atoa Onyo Makampuni ya Ulinzi Yanayoajiri Vikongwe
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Alphaxard Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa makapuni binafsi ya ulinzi nchini kuhakikisha yanarekebisha mfumo wao wa kuajiri pamoja na utoaji wa mishahara kabla ya Wizara yake haijaanza kuyahakiki makampuni hayo. Lugola amesema…
Plans In Russ brides Uncovered
In similar instances, the bride has more than you car. Check what type of alternatives (1, two, 6, 12 months) the web site extends to both you and attempt to calculate the length of time you happen to be prepared…
Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo, Agost, 4 , 1961 alizaliwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Hussein Obama
Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo, Agost, 4 , 1961 alizaliwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Hussein Obama, huko Honolulu, Hawaii, Marekani. Obama alikuwa Rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushika nafasi hiyo ya urais…