Latest Posts
CCM WAKUBALI KINANA KUJIUZULU
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea ombi la kustaafu kwa Ndg. Abdulrahman Kinana katika nafasi yake ya Katibu Mkuu pamoja na majukumu yake. Kamati hiyo wameridhia kwa pamoja ombi lake na wamemtakia mafanikio mema katika shughuri zake
Bado Tunakukumbuka Albert Mangweir
Leo wanamuziki na wadau wa burudani nchini Tanzania wanakumbuka miaka mitano ya kifo cha msanii wa miondoko ya kufokafoka Albert Mangwair. Mangwair ambaye alikuwa mmoja ya wasanii nguli nchini alizaliwa Novemba 16 1982 mkoani Mbeya na kufariki Mei 28 2013…
DK. SALEH ALI SHEIKH: TANZANIA NI MFANO WA KUIGWA
WAZIRI wa Mambo ya Dini wa Saudi Arabia, Dk. Saleh Ali Sheikh amesema Tanzania ni mfano wa kuigwa na nchi nyingine kutokana na amani iliyopo. Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumapili, Mei 27, 2018) wakati akitoa nasaha kwa wageni…
Mhamiaji wa Mali Apongezwa kumuokoa Mtoto Ghorofani
Mhamiaji wa Mali amepongezwa kama shujaa baada ya kukwea sehemu ya mbele ya jengo la ghorofa mjini Paris kumuokoa mtoto aliekuwa kwenye uzio wa ubaraza wa ghorofa ya nne kwenye jengo refu. Video ya Mamoudou Gassam akimuokoa mtoto ilisambaa sana…
Naibu Waziri wa Afya Dk. Ndugulile mgeni rasmi Siku ya Hedhi Duniani Leo
Siku ya Hedhi Duniani kuazimishwa le tarehe 28/Mei/2018, huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile. Tukio hilo linatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Bwalo la Maafisa wa Jeshi la…
Mohamed Salah: Nina ‘matumaini makubwa’ ya kucheza Kombe la Dunia Urusi 2018
Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha ya bega kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Salah, 25, aliondoka…