JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Buriani Dk. Mengi

Kifo kimeumbwa, kifo ni faradhi. Kifo ni ufunguo wa kufunga uhai wa binadamu duniani na kufungua maisha ya milele ya binadamu huko ahera (mbinguni). Faradhi na ufunguo umemshukia ndugu yetu mpendwa, Dk. Reginald Abraham Mengi.  Reginald Mengi amefariki dunia. Ni…

Yah: Malipo ni hapa hapa duniani

Salamu ndugu zangu wote mliopata baraka ya kuishuhudia Pasaka. Sina hakika, lakini ni kweli kwamba wengi walipenda kufurahia ufufuko wake Yesu Kristo mwaka huu lakini haikuwa hivyo. Wapo ambao waliweka malengo ya miezi sita na mwaka, lakini mipango yao haikuwa…

Ndugu Rais tupandishe madaraja

Ndugu Rais, Mei ‘Dei’ ya Mbeya imepita. Wanaotaka kujifunza wataisoma. Lo! Maandamano yalikuwa marefu! Lo, mabango yalikuwa mengi yale, lakini yote yalibeba ujumbe mmoja unaofanana. Ulisomeka: “Tanzania ya uchumi wa kati inawezekana. Wakati wa mishahara na masilahi bora kwa wafanyakazi…

Hapatoshi Wydad vs Esperance

Hatimaye timu ya Esperance de Tunis ya Tunisia na Wydad Casablanca ya Morocco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika (CAF Champions League). Esperance wameingia fainali baada ya kuwafunga TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

CCM: CAG safi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema ukaguzi na udhibiti wa ndani ya chama hicho kwa sasa ni zaidi ya kile kilichobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa…

CAG apigilia msumari Tarime

Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, imesadifu kile kilichoandikwa na Gazeti la JAMHURI katika toleo namba 385 kuhusu ubadhirifu wa fedha za maendeleo katika Wilaya ya Tarime. JAMHURI katika toleo hilo liliandika…