Latest Posts
Serikali ombi la DAR – PC, yaongeza muda wa kujisajili kwa waandishi wa habari nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeongeza muda wa kujisali baada ya Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DAR – PC) kuiomba Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini kuongeza muda wa usajili…
Bunge la 12 lawaaga Watanzania kupitia Bonanza la kihistoria Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wabunge, Viongozi wa Serikali, Mashirika binafsi na wananchi wameungana jijini Dodoma katika kilele cha Bonanza Maalum la Bunge maarufu kama Grand Bunge Bonanza ambalo kwa mwaka huu limefanyika kama tukio la mwisho kwa Bunge la 12. Bonanza…
Tanzania, Urusi kuimarisha sekta ya nishati
TANZANIA NA URUSI KUIMARISHA SEKTA YA NISHATI 📌 Dkt. Biteko awakaribisha Warusi kuwekeza katika nishati safi ya kupikia 📌 Urusi kuisaidia Tanzania katika afya, usalama mtandao na ulinzi wa miundombinu 📌 Kampuni kubwa ya nishati duniani INTER RAO Export yaonesha…