JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Baba wa Manyika JR Aelezea Sakata la Mwanaye

Peter ambaye ni baba mzanzi wa Peter Manyika, amefunguka kuhusiana na sakata la mtoto wake kujiengua kwenye timu ya Singida United akieleza kutolipwa stahiki zake. Peter amesema kuwa ni kweli mtoto wake ameshaondoka SIngida na sasa yupo katika kituo cha…

Mamji Aahidi Makubwa Yanga

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Matawi ya Yanga Dar es Salaam, Boas Ikupilika, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji amewaahidi kuisuka Yanga mpya kwenye dirisha dogo la Novemba. Manji pia ameahidi kumpa sapoti kubwa Kocha Mwinyi Za­hera kuhakikisha sifa…

Obama Amshutuma Rais Trump

Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama amemshutumu mrithi wake Donald Trump na mambo ya ‘kipuuzi yanayotoka’ katika ikulu ya Whitehouse. ”Hii sio kawaida huu ni wakati usio wa kawaida na ni wakati hatari”, Obama aliwaambia wanafunzi katika chuo kikuu cha…

Stars yatoka Sare ya 0-0 na Uganda

Kikosi cha Taifa Stars, kimelazimishwa sare ya bila kufungana kikiwa ugenini dhidi ya wenyeji wake Uganda. Mechi hiyo ya kuwania kufuzu Afcon imepigwa kwenye Uwanja wa Namboole jijini Kampala na Stars iliyokuwa ikiongozwa na nahodha Mbwana Samatta imeonyesha soka safi…

AJALI YA MAGARI MATANO MBEYA, WALIOFARIKI WAFIKA 15

Idadi ya watu waliokufa katika Ajali ya lori iliyogonga Magari mengine manne kabla ya kupinduka na kuwaka moto kwenye mteremko mkali wa Iwalanje, eneo la Igawilo jijini Mbeya imefikia 15, baada ya majeruhi wengine wawili kufariki dunia wakati wakipewa matibabu…