JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Israel yatangaza kuzidisha mashambulizi dhidi ya Iran

Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz amesema Alhamisi kuwa amewaagiza wanajeshi kuzidisha mashambulizi dhidi ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuendeleza malengo ya serikali ya “kudhoofisha” uongozi wa Tehran. Katz ameongeza kuwa yeye na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu walitoa…

Rais Dk Samia afungua mradi wa maji Lamadi Simiyu

Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.      

Rais Samia azindua mradi wa maji wenye thamani ya bilioni 12 Busega Simiyu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Mradi wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 12 katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu. Mradi wa Lamadi ni…

Dk Samia aweka historia Simiyu,aandika nyingine Mwanza leo

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha alama kubwa za kihistoria mkoani Simiyu anapohitimisha ziara yake leo, kabla ya kuelekea Mwanza kuandika historia nyingine kwa kufungua rasmi daraja…

Marekani yaidhinisha dawa mpya ya kuzuia virusi vya UKIMWI

Taasisi ya kudhibiti dawa ya Marekani imeidhinisha dawa mpya ya kuzuia virusi vya Ukimwi. Dawa hiyo inayofanya kazi kwa muda mrefu, Lenacapavir, inahitaji tu kutumika mara moja kila baada ya miezi sita na mwenyekiti wa ugunduzi wake, Daniel O’Day amesema…