JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAAJABU YA DK. REMY ONGALA (1)

Kama kuna mwanamuziki ambaye hawezi kusahaulika katika kumbukumbu za wapenda muziki ni Dk. Remmy Ongalla. Desemba 13, 2018 alitimiza miaka minane tangu afariki dunia. Alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumatatu ya Desemba 13, 2010 nyumbani kwake Sinza, jijini Dar es…

Wakati mgumu makocha EPL

Na Khalif Mwenyeheri   Ikiwa ni takriban mechi nne zimechezwa tangu kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), hivyo kila timu ikiwa imecheza jumla ya mechi 22, huu ndio wakati ambao bodi za klabu zinazoshiriki ligi…

Spika, CAG ngoma nzito

Kama ungekuwa mchezo wa soka, basi ungesema zimechezwa dakika 90 zimekwisha, zikaongezwa dakika 30 zikaisha timu zikiwa sare, sasa wanaelekea kwenye kupiga penalti. Huo ndiyo mchuano uliopo kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa…

Jiji lanyang’anywa maegesho

Serikali imemkabidhi Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mkoa wa Dar es Salaam jukumu la kukusanya mapato ya maegesho ya magari kuanzia Februari mwaka huu. Mratibu wa TARURA Mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi George Tarimo, ameliambia Gazeti…

Hatimaye kigogo CCM apewa uraia

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye (Nambatatu), ameomba na kupewa uraia, JAMHURI linathibitisha. Kiboye ambaye anajulikana pia kwa jina la Jared Samweli Kiboye, amepewa uraia wa Tanzania mwaka jana baada ya kubainika kuwa alikuwa Mkenya….

Wazanzibari kutibiwa bure

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema serikali hiyo imekusudia kuendelea kutoa matibabu bure kwa wakazi wote wa Unguja na Pemba. Amesema mafanikio hayo yanatokana na juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…