Latest Posts
Hongera Wizara ya Kilimo, hongereni wapambanaji
Wizara ya Kilimo imezuia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) iliyopo Makutupora, Dodoma kuendelea na utafiti wa mbegu za GMO. Uamuzi huo ni majibu kwa kilio cha wazalendo waliojitokeza kupaza sauti kuhoji uhalali wa chepuo linalopigwa ili kuruhusu mbegu hizo…
Watu watanifikiriaje, inakuchelewesha
Kama kuna neno ambalo limewafanya watu wabaki palepale walipo miaka nenda – rudi ni neno: “Watu watanifikiriaje au watu watasemaje.” Watu wengi wana ndoto kubwa, maono makubwa, mawazo makubwa ya kuibadili dunia na vipaji vingi, lakini wanafikiria watu wengine watawafikiriaje…
Miundombinu, umeme uko njia sahihi
Leo nimeamua kusitisha makala ya Raila Odinga na urais wa Kenya ili nami kidogo nishiriki kujadili na kuichambua miaka mitatu ya Rais John Magufuli. Tangu Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli iingie madarakani, yametokea mambo mazuri kadhaa….
Sababu zinazochangia tumbo kujaa
Ni hali ambayo mara nyingi mtu huhisi tumbo lake limejaa wakati wote. Kila mmoja amewahi kupata hali hii mara kadhaa kwa nyakati tofauti. Japo ni hali ambayo kwa kawaida hutokana na ulaji kupita kiasi, lakini kuna baadhi pia hawana tabia…
Bravo: Rais Magufuli (1)
Alhamis, Novemba mosi, 2018 inastahili kuwa siku ya kukumbukwa kutokana na lile tukio la Rais John Magufuli kushiriki kikamilifu mdahalo muhimu pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam (Mlimani), katika ukumbi wa Nkrumah. Nafikiri, mkuu wa nchi alijisikia yuko nyumbani…
Ndugu Rais tuonyeshe njia ya kwenda Canaan
Ndugu Rais, imeandikwa; wacha tukuchezee Bwana kwa matendo yako makuu. Wacha tukutukuze Bwana kwa ukuu wako! Mbingu na nchi zinatangaza ukuu wako Bwana, milima nayo yapendeza yamtukuza Yeye. Alipo Wewe Bwana utukufu unashuka! Canaan mji ule! Mji wa divai iliyo…



