JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Amri ya DC Moshi yamchefua Askofu, wananchi Vunjo

Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Martin Shao, amepinga amri ya Mkuu wa Wilaya (DC) ya Moshi, Kippi Warioba, kuzuia ujenzi wa barabara vijijini katika Jimbo la Vunjo. Barabara hizo zinajengwa kwa…

Makamu wa Rais: Ole wenu wavamia hifadhi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kwa wananchi wenye tabia ya kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya maeneo ya hifadhi, akiwataka waache mara moja na wale watakaoendelea wasije kuilaumu serikali kwa hatua itakazochukua dhidi yao. Ameyasema hayo wakati…

Uonevu kwa wakulima ufikie tamati

Tunapongeza hatua iliyochukuliwa na serikali kwa wakulima wa korosho. Japo matokeo ya uamuzi huo hayajajulikana, lililo la msingi ni kuwa serikali imeonyesha kuwajali wananchi hao. Historia inaonyesha kuwa kwa miongo mingi wakulima wa mazao ya aina zote wamekuwa wakidhulumiwa licha…

Inawezekana kufanyika, fanya sehemu yako

Miongoni mwa maneno muhimu na ninayoyakubali kwa asilimia mia yaliyowahi kusemwa na Mwalimu Julius K. Nyerere, ni haya: “Inawezekana kufanyika, timiza wajibu wako.” Tumezoea kusikia watu wengi wakilalamika; na ngao kubwa ya kutofanya mambo makubwa huwa wanajikinga na ngao ya…

Kesi ya Jaji Warioba, TBA kusikilizwa mwakani

Kesi iliyofunguliwa na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Warioba, dhidi ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), imeahirishwa hadi Februari 11, mwakani. Jaji Warioba ambaye pia amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, anapinga kufukuzwa katika…

Maajabu ya Ngorongoro

Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) ina eneo la ukubwa wa kilometa 8,300 za mraba – lenye mchanganyiko wa pekee wa sura ya nchi, wanyamapori, wanyama wafugwao na mambo ya kale. Hifadhi hii ilianzishwa mwaka 1959 chini ya Kifungu cha Sheria Na….