Latest Posts
Aliyepigwa risasi Ikulu Ndogo kuburuzwa kortini
Mtu mmoja aliyepigwa risasi na polisi akiwa maeneo ya Ikulu Ndogo inayotumiwa na Makamu wa Rais jijini Mwanza atafikishwa mahakamani baada ya matibabu. Raia huyo amelazwa Hospitali ya Rufaa mkoani hapa ya Sekou Toure akiendelea kuuguza jeraha la risasi mwilini…
Utulivu uendelee vyama vya siasa
Katika siku za karibuni uwanja wa siasa nchini umeshuhudia matukio makubwa. Ni matukio yenye kuzua mjadala na kimsingi, unaweza kusema ni matukio ambayo kwa sehemu kubwa yamevuruga mikakati ya vyama vya siasa kwa ujumla wake, mikakati kati ya chama kimoja…
NINA NDOTO (12)
Ongeza thamani kwa ukifanyacho Mchezaji bora katika timu si yule mwenye umri mkubwa zaidi ya wachezaji wengine au aliyeitumikia timu kwa muda mrefu, bali ni yule mwenye thamani. Ndiye hulipwa zaidi ya wote. Thamani ni gharama au ubora wa kitu…
Hofu ya Chadema sheria mpya ya vyama vya siasa
Katika taarifa kwa umma, Machi 22, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanya uchambuzi wa sheria mpya ya vyama vya siasa iliyotiwa saini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi karibuni kama ifuatavyo: Tumeiona Sheria mpya ya…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (7)
Leo naandika makala hii nikiwa hapa Bukoba. Nimesafiri kutoka Dar es Salaam hadi Bukoba kwa kutumia usafiri wa gari dogo (IST). Kauli aliyopata kuitoa Rais John Pombe Magufuli kuwa ipo siku mtu atasafiri kwa teksi kutoka Mtwara hadi Bukoba, hakika…
MAISHA NI MTIHANI (22)
Hatuoni ingawa tunatazama Kuona ni mtihani. Si kila jicho lililofunguka linaona. Na si kila jicho lililofumbwa limelala. Kila mtu anatazama lakini si kila mtu anaona. Kuona ni mtihani. Je, unapotazama unaona? “Hatuoni vitu kama vilivyo, tunaviona kama tulivyo.” (Anais Nin)….



