Latest Posts
Maonesho ya kilimomisitu kufanyika Musoma Novemba 13 na 15, 2025
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Maendeleo la Kiswidishi linalotekeleza miradi ya maendeleo nchini kwa kushirikiana na wabia mbalimbali Vi Agroforesty limeandaa maonesho ya 10 ya kilimomisitu yanayotarajiwa kufanyika mjini Musoma. Meneja Mkazi wa shirika hilo nchini Martha Olotu aliwaambia waandishi…
Kauli ya Rais Samia imetupa utulivu kuendelea na majukumu – Wananchi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Pwani wameishukuru Serikali kufanikisha uchaguzi uliomalizika huku wakisema sasa wanaendelea na shughuli zao za kila siku kwa utulivu na usalama. Wakizungumza Novemba 6,2025 kuhusu muelekeo wa maisha baada ya…
Mwenyekiti ACT- Wazalendo aanza ziara ya maalum kukutana na wanachama Pemba
Na Mwandishi Wetu, Pemba Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, ameanza ziara maalum ya siku nne kisiwani Pemba yenye lengo la kuimarisha mshikamano wa wanachama na kufufua…
Rais Dk Mwinyi amuapisha mwanasheria mkuu wa Z’bar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Hafla ya uapisho imefanyika leo Novemba 6, 2025, Ikulu, Zanzibar. Dkt. Mwinyi Talib Haji ameteuliwa tena…
TEF: Poleni Watanzania, Tujisahihishe
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) linafuatilia kwa karibu na limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Watanzania wenzetu, wakiwamo wanahabari na wengine waliojeruhiwa. Siku ya tukio tulipokea taarifa za vifo vya vijana na askari polisi. Baadhi ya wananchi waliwasiliana…





