JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Inahitaji ujasiri wa simba kufichua maovu

Mara kwa mara katika hotuba zake Rais John Magufuli hukumbusha wajibu wa viongozi katika ngazi zote kutimiza wajibu wao wa kuwatumikia wapiga kura. Amekumbusha tena kwenye hotuba yake hivi karibuni kwa watendaji wa kata aliyowaalika Ikulu. Alisisitiza umuhimu wa watendaji…

Ukweli kesi ya Mzungu na Airbus yetu (1)

Kabla ya kukamatwa ndege Mwaka 1983 kupitia Kifungu cha 3( 1 ) cha Sheria iliyoitwa Acquisition and Transfer Management Act, 1983 kampuni sita za Mzungu Hermanus Steyn ambazo ni Rift Valley Seed Ltd, Hashman Estate Ltd, Lente Estate Ltd, Loldebbis Ltd, Mayoka Estate…

Ukipoteza muda, muda utakupoteza zaidi (3)

Wiki iliyopita, makala hii iliishia pale Marcus Aurelius anaandika: “Kwa sababu jambo linaonekana ni gumu kwako, usifikiri kwa wengine haliwezekani.” Huwezi ukashinda kama huchezi. Neno ‘Haliwezekani’ tulitumie kwa uangalifu mkubwa. Padri Dk. Faustin Kamugisha anaandika: “Kama kila mtu angejitahidi kufanya lolote…

MAISHA NI MTIHANI (45)

Utukufu ni mbele kwa mbele   Yajayo ni mtihani, kioo cha mbele cha gari ni kikubwa kuonyesha kuwa makubwa yako mbele. Vioo vya pembeni vya kutazama ya nyuma ni vidogo kuonyesha kuwa madogo yako nyuma, utukufu ni mbele kwa mbele. “Yajayo…

Kulaza watu saa 5 usiku si haki

Hivi karibuni nilihudhuria sherehe za kijana mmoja aliyefunga ndoa. Ni tukio la furaha kwa wana ndoa wenyewe, lakini pia kwa ndugu, jamaa na marafiki wa wawili hao. Ni tukio linalowakutanisha watu wengi na huendana na shamrashamra za kila aina. Kula…

Kuna njama za kuhujumu uchumi wetu

Kuna njama za kuhujumu uchumi na kudhulumu utu na uchumi wa Mtanzania daima dumu. Njama hizo si ndogo, ni kubwa na zinatekelezwa usiku na mchana na mabeberu wa dunia wakishirikiana na Watanzania wenzetu. Wananchi hatuna budi kulifahamu hilo na kuwa…