Latest Posts
Takukuru yamchunguza Meneja MPRU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza uchunguzi wake dhidi ya Meneja wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu ambaye analalamikiwa kwa kuwanyanyasa na kuwafukuza wafanyakazi bila kuzingatia taratibu zilizowekwa. Kwa mujibu…
Maji kwa wingi hupunguza msongo wa mawazo, hasira
Kama unahitaji njia rahisi na ya asili ya kuepukana na maisha yenye hasira au yaliyojaa msongo wa mawazo, basi jenga utamaduni wa kunywa maji kwa wingi. Ogani zote kwenye miili yetu zikiwamo ubongo, zinahitaji maji kwa wingi ili kufanya kazi…
Watanzania tuchukue hatua…
Wizara ya Nishati ya Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia nchini humo. Upigaji marufuku huo umefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati ya Kenya, mwezi Aprili mwaka huu. Uamuzi huu wa Kenya ni kinyume na misingi…
Mtoto ni malezi, tutoe malezi bora
Mwanafalsafa William Arthur Ward anasema; Shukrani inaweza kubadili siku za kawaida kuwa siku za shukrani, kubadili kazi za kila siku kuwa furaha, na kubadili fursa za kawaida kuwa baraka. Leo ninaomba nizungumzie makuzi na malezi bora kwa watoto. Katika dunia…
Kuna mambo hayakwenda sawa, vyema yanaanza kurekebishwa
Kuna mambo nadhani ni mhemko wa utandawizi (mnaitaga utandawazi) au ujinga tu wa kuiga wazungu tuliyapokea na kuyafanya ndio utamaduni wetu na hata kuyatungia sheria bila tafakari ya kina! Na ilikuwa mtu ukiyatolea maoni tofauti unaonekana wewe wakuja au hamnazo!…
Yah: Umiliki wa mashamba na majengo ya walalahoi uzingatiwe
Nimesikia matangazo ya watu mbalimbali, kila mtu akinadi kile anachokijua, sasa ni kama nimevurugwa na akili yangu haifanyi kazi ipasavyo kutokana na matangazo hayo ya wananchi wenye kunena kwa niaba ya Serikali, huku wakijua wazi kwamba hawana mamlaka ya kunadi…