Latest Posts
Wachambuzi wa Soka Wasema Alikiba Anaweza Kucheza Ulaya
Baadhi ya Wachambuzi wa Soka nchini akiwemo kocha wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo amesema msanii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza Ligi Kuu Bara, na kama akiandaliwa vizuri anaweza kucheza hata Ulaya….
Trump na Kim Jong-un wawasili Singapore
Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa kuwa wa kihistoria. Trump aliwasili saa chache tu baada ya Kim kuwasili na ujumbe wake. Mkutano wao ambao ni wa…
Magazetini leo Tarehe 11
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania June 11, 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
MTANZANIA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA MAREKANI
MMOJA wa wataalam na watafiti wa magonjwa ya akili nchini, Profesa Slyvia Kaaya, ni miongoni mwa watu sita watakaotunukiwa shahada za heshima na Chuo Kikuu cha Dartmouth cha Marekani leo. Prof. Kaaya, wa Chuo cha Sayansi ya Afya…
Felix Wazekwa alitumia ndumba kuvuta mashabiki wa muziki
MOSHY KIYUNGI Félix Wazekwa ni mwanamuziki mwenye mbwembwe wakati akiwa jukwaani, akiimba huku akiongoza safu ya wanenguaji. Mtindo wa unenguaji wanaoutumia ni wa aina yake, ambao haulingani na mitindo mingine yoyote ya wanamuziki wa huko Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo…