JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Magaidi Wawili Hatari wa IS Wakamatwa

  Taarifa zinasema kuwa raia wawili wa Uingereza wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kikundi cha wapiganaji wa Kiislam cha IS wanashikiliwa na kundi la wapigaji wa Kikurd. Alexanda Kotey mwenye umri wa miaka 34 na mwenzake El Shafee Elsheikh mwenye miaka…

UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

Waziri wa Afya wa Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo kushoto na akikabidhiwa Msaada wa Laptop 200 zenye thamani ya zaidi ya Shil.Millioni 400 kutoka kwa Mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Francesca Morandin ili kuimarisha usimamizi wa mfumo wa taarifa za Afya kwa…

KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akisalimiana na Uongozi wa Mamlaka ya maji Safi na usafi wa Mazingira mjini Dodoma (DUWASA) alipofanya ziara ya kutembelea Ofisi hizo mjini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais…

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa Februari 9, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Februari,9, 2018 nimekuekea hapa  

MPINA APANGUA HOJA ZA WABUNGE KUHUSU NAMNA WIZARA YAKE INAVYOPAMBANA KUTOKOMEZA UVUVI HARAMU NCHINI

 Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina,  Injinia Arcard Mutalemwa (Mwenye shati jeupe), kufanya tathmini ili kujua  uwekezaji uliopo katika Ranchi za Taifa (NARCO) akikabidhi  ripoti ya kazi hiyo jana  kwa Waziri Mpina na…

MTULIA ATAJA KERO ATAKAYOANZA NAYO AKIWA MBUNGE

MGOMBEA ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdallah Mtulia ameendelea kuomba kura huku akiwaambi wananchi yeye hana tofauti na wao. Mbunge wa jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni jana jioni katika viwanja…