JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Lugola amuagiza DCI amkamate aliyekuwa mkurugenzi Nida

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Mkurugenzi wa Makosa Jinai nchini (DCI) kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu kabla ya saa 12 jioni leo na tayari ameshakamata na kupelekwa Dar es Salaam….

MAKALA BHOKE – MWENDELEZO

Usikimbilie kuona kikwazo fulani kuwa ni hatima ya mambo yote. Palipo na shida pana ushindi. Wakati wengine wanaona shida na kukwama, wewe tazama ushindi katika kila shida. Vikwazo vinapoibuka si kwamba vitukatishe tamaa. Vinaibuka tuweze kuvishinda. Usiwe na utamaduni wa…

Kujitegemea – Nyerere

“Kujitegemea maana yake ni kwamba hatuna budi kutumia kwa juhudi zetu zote rasilimali yetu tuliyonayo.” Nukuu hii imetolewa kwenye kitabu cha nukuu za Kiswahili za Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere. Ubaguzi – Mandela…

Imani za kishirikina zamsababishia binti ulemavu Dodoma

EDITHA MAJURA Dodoma Imani za kishirikina zinaweza kumsababishia Shukurani Samweli (34) ulemavu, vidole vyake vitatu vya mkono wa kushoto vitaondolewa kutokana na kuoza kulikosababishwa na kuunguzwa na mvuke wa maji moto. Mwanamke huyo mwenye watoto watano, ameshindwa kuendelea kunyonyesha mtoto…