JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

BABU SEYA: TUNAANDAA MAMBO MAKUBWA MASHABIKI TULIENI

NGULI wa muziki wa dansi, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye Jonhson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa mara ya kwanza tangu waachiwe huru Desemba 9 kwa msamaha wa Rais John Maguuli, leo Januari 5 wamekutana na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa,…

DROO YA 32 BORA ASFC YAFANYIKA, YANGA YAPANGWA NA IHEFU

Timu 32 zilizofuzu kwenye raundi ya 32 bora ni: Ruvu Shooting, Mwadui FC, Dodoma FC, KMC, Tanzania Prisons, Yanga, Green Worriors, JKT Oljoro, Buseresere FC, Friends Rangers, Majimaji Rangers, Singida United, Pamba SC, Azam FC, Kiluvya FC, Mwadui FC, Mbao…

Heri ya Mwaka Mpya na Muhogo

Mpendwa msomaji nakutakia heri ya mwaka mpya 2018. Mungu alipo hakuna cha kuharibika. Nikiri kuwa katika kuumwa nimepata fursa ya kufahamu Watanzania wanavyofuatilia kazi ya mikono yangu na hasa hili suala la muhogo. Nimegundua kuwa Watanzania wengi wana nia ya…

Ushauri Wangu kwa Dk. Kigwangalla

Kwenye vitabu vya dini tumezuiwa kujisifu, lakini hatukatazwi kutangaza mafanikio. Ndiyo maana nakiri kuwa miongoni mwa wadau tuliosimama imara kuhakikisha tunaondoa ukiritimba wa Chama cha Wamiliki wa Kampuni za Uwindaji wa Kitalii Tanzania (TAHOA), kutoka kwenye mizengwe ili kiwe na…

Mauaji Yaongezeka Yemen

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo watu 14  wa familia moja na kuacha simanzi kubwa katika familia hiyo. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini…

China Yapuuza Vikwazo vya UN

Rais wa Marekani Donald Trump ameilaumu nchi ya China kwa kukiuka vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuzipa matuta meli za nchi hiyo. Rais Trump aliandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa China imeshuhudiwa ikiruhusu…